daktari wa kibofu cha mkojo

Tungependa kuwatangazia kwamba daktari Kassim(daktari wa kibofu cha mkojo) atakuwa Tawfiq Hospital tarehe 5/11/2016 (tarehe 5 novemba 2016). kumwona ni shilingi 1800/=.

kujiandikisha imeanza.
itakuwa vyema kujiandikisha na mapema.