Afya Hijama Centre

Tungependa kuwatangazia ya kwamba Tawfiq hospital ina furaha kuwajulisha AFYA HIJAMA CENTRE watakuwa na siku mbili za kuumika tarehe 5 na 6 mwezi 11/2016. uandikishaji unaendelea hapo hospitalini. pia waeza kujiandikisha kupitia nambari hizi: 0722426297,
0722474165,
0775929222